/ Kutatua Matatizo / Matatizo Mengine ya Kuchapisha / Haiwezi Kukatisha Kuchapisha kutoka kwenye Kompyuta Inayoendesha Mac OS X v10.6.8

Haiwezi Kukatisha Kuchapisha kutoka kwenye Kompyuta Inayoendesha Mac OS X v10.6.8

Ikiwa unataka kusimamisha kuchapisha kutoka kwenye kompyuta yako, weka mipangilio ifuatayo.

Endesha Web Config, na uteue Port9100 kama mpangilio wa Itifaki ya Kipaumbele cha Juu katika Usanidi wa AirPrint. Chagua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwa menyu ya > Printa & Vitambazo (au Chapisha & Tambaza, Chapisha & Tuma Faksi), ondoa printa, na kisha uongeze printa tena.