/ Kutatua Matatizo / Matatizo ya Uchapishaji / Picha Zilizochapishwa Zinanata

Picha Zilizochapishwa Zinanata

Huenda unachapisha kwenye upande usiofaa wa karatasi ya picha. Hakikisha kuwa unachapisha kwenye upande unaochapishika.

Unapochapisha kwenye upande usiofaa wa karatasi ya picha, unahitaji kusafisha njia ya karatasi.