/ Kiambatisho / Sifa za Kiufundi / Sifa za Kitambazaji

Sifa za Kitambazaji

Aina ya Kitambazaji

Tambarare

Kifaa cha Picha-umeme

CIS

Pikseli Zinazofaa

Pikseli 10200×14040 (1200 dpi)

Ukubwa wa Juu wa Hati

Milimita 216×297 (in. 8.5×11.7)

A4, Letter

Mwonekano wa Utambazaji

1200 dpi (utambazaji mkuu)

2400 dpi (utambazaji mdogo)

Mwonekano wa Zao

50 hadi 9600 dpi katika ongezeko la 1 dpi

Kina cha Rangi

Rangi

  • Biti 48 kwa pikseli ya ndani (biti 16 kwa pikseli kwa rangi ya ndani)

  • Biti 24 kwa pikseli ya nje (biti 8 kwa pikseli kwa rangi ya nje)

Kijivu

  • Biti 16 kwa pikseli ya ndani

  • Biti 8 kwa pikseli ya nje

Nyeusi na Nyeupe

  • Biti 16 kwa pikseli ya ndani

  • Biti 1 kwa pikseli ya nje

Chanzo cha Mwangaza

LED