Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Unaweza kutuma faksi kwa kuingiza nambari za faksi kwa wapokeaji kwenye paneli dhibiti.
Weka nakala za kwanza.
Unaweza kutuma kurasa 100 kwa utumaji mmoja; hata hivyo kulingana na kiwango cha kumbukumbu kinachobakia, huenda usiwezi kutuma faksi iliyo na chini ya kurasa 100.
Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani.
Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya
, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

Bainisha mpokeaji.
Unaweza kutuma faksi moja ya monokromu kwa hadi wapokeaji 100. Hata hivyo, rangi ya faksi inaweza kutumwa tu kwa mpokeaji mmoja kwa wakati mmoja.
.
na wapokeaji unaotaka kuwatuma. Iwapo mpokeaji unayetaka kumtumia hajasajiliwa kwenye Waasiliani, isajili kutoka kwenye Kisimamia Waasiliani.
, na kisha uteue mpokeaji.
Ili kufuta wapokeaji uliowaingiza, bonyeza kitufe cha
kwenye skrini ya Faksi, teua mpokeaji, na kisha ubonyeze kitufe cha Sawa. Bonyeza kitufe cha
ili ukamiklishe ne urejee kwenye skrini ya Faksi.
Bonyeza kitufe cha Sawa, na kisha uteue Mipangi. Utambazaji au Mipan. Kutuma Faksi na kisha uweke mipangilio kama vile mwonekano na mbinu ya utumaji inavyohitajika.
Bonyeza kitufe cha
hadi urudi kwenye skrini ya Faksi, na kisha ubonyeze kitufe cha
ili kutuma faksi.
Wakati utumaji umekamilika, ondoa nakala asili.
Ikiwa nambari ya faksi ina shughuli au kuna matatizo, printa hudayo upya kiotomatika baada ya dakika moja.
Ili ukatishe utumaji, bonyeza kitufe cha
.
Huchukua muda murefu kutuma faksi ya rangi kwa sababu printa hufanya utambazaji na utumaji kwa wakati mmoja. Wakati kichapishi kinatuma faksi ya rangi, huwezi kutumia vipengele vingine.