/ Kuhusu Mwongozo Huu / Ufafanuzi Unaotumiwa Katika Mwongozo Huu

Ufafanuzi Unaotumiwa Katika Mwongozo Huu

  • Vielelezo-skrini vya kiendeshi cha printa na skrini za Epson Scan 2 (kiendeshi cha kitambazo) ni za Windows 10 au macOS Mojave. Maudhui yanayoonekana kwenye skrini hutofautiana kulingana na modeli na hali.

  • Mifano inayotumiwa kwenye mwongozo huu ni mfano tu. Ingawa huenda kukawa na tofauti kidogo kulingana na modeli, mbinu ya utendaji ni sawa.

  • Baadhi ya vipengele vya menyu vilivyo kwenye skrini ya LCD hutoautiana kulingana na modeli na miundo.

  • Unaweza kusoma msimbo wa QR kwa kutumia programu faafu.