/ Kiambatisho / Hakimiliki

Hakimiliki

Hakuna sehemu ya uchapishaji huu inaweza kuchapishwa tena, kuhifadhiwa katika mfumo wa kurejeshwa, au kusambazwa kwa namna yoyote ili au kwa njia yoyote, kielektroniki, kwa mitambo, kunakiliwa, kurekodiwa, au njia nyingine ile, bila ruhusa iliyo andikwa kabla kutoka kwa Seiko Epson Corporation. Hakuna dhima ya hataza inatwaaliwa kwa matumizi ya taarifa iliyopo hapa. Wala hakuna dhima yoyote imetwaaliwa kwa uharibifu unaotokana na matumizi ya taarifa iliyopo hapa. Taarifa iliyopo hapa imeundwa kutumiwa na bidhaa ya Epson peke yake. Epson haitawajibika kwa matumizi yoyote ya taarifa kwa bidha zingine.

Seiko Epson Corporation au washiriki wake hawatawajibika kwa mnunuzi wa bidha hii au mtu wa tatu kwa uharibifu, hasara, au gharama inayomtokea mnunuzi au mtu wa tatu kama matokeo ya ajali, matumizi mabaya ya bidha hii au urekebishaji, ukarabati, au ubadilishaji usioidhinishwa kwenye bidhaa hii, au (isipokuwa Marekani) kutofuata maelekezo ya utumiaji na ukarabati ya Seiko Epson Corporation.

Seiko Epson Corporation na washiriki wake hawatawajibika kwa uharibifu au matatizo yoyote yanayotokea kwa sababu ya matumizi ya chaguo zozote au bidhaa zozote na kutumiwa mbali na zilizobainishwa kama Bidhaa Asili za Epson au Bidhaa Zilizoidhinishwa na Epson na Seiko Epson Corporation.

Seiko Epson Corporation haitawajibika kwa uharibifu wowote unaosababisha na athari ya sumaku umeme inayotokea kutokana na matumizi ya kebo zozote kusano mbali na zilizobanishwa kama Bidhaa Zilizoidhinishwa na Epson na Seiko Epson Corporation.

© 2021 Seiko Epson Corporation

Maudhui ya mwongozo huu na sifa za bidhaa hii zinaweza kubadilishwa bila notisi.