Kubadilisha Vibweta vya Wino

Tahadhari:

Chunga mkono au vidole vyako visikwame wakati unafungua au kufunga kitengo cha kitambazaji. La sivyo unaweza kujeruhiwa.

Fanya moja kati ya zifuatazo.

Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  • Unapoombwa kubadilisha vibweta vya wino

Angalia kibweta kipi cha wino kinachohitaji kubadilishwa, na kisha ubonyeze kitufe cha OK. Thibitisha ujumbe, teua Badilisha sasa kwenye skrini ya nyumbani.

Teua Jinsi ya na kisha utazame uhuishaji ulioonyeshwa kwenye paneli dhibiti ili kujifunza jinsi ya kubadilisha vibweta vya wino.

  • Unapobadilisha vibweta vya wino kabla ya kuisha

Teua Matengenezo > Ubadilishaji wa Kibweta cha Wino kwenye skrini ya nyumbani.

Teua Jinsi ya na kisha utazame uhuishaji ulioonyeshwa kwenye paneli dhibiti ili kujifunza jinsi ya kubadilisha vibweta vya wino.