/ Maelekezo Muhimu / Ushauri na Maonyo ya Printa / Ushauri na Maonyo ya Kutumia Printa

Ushauri na Maonyo ya Kutumia Printa

  • Usiingize vitu ndani ya printa kupitia sloti.

  • Usiingize mkono wako ndani ya printa wakati wa uchapishaji.

  • Usiguse kebo tambarare nyeupe iliyo ndani ya printa.

  • Usitumie bidhaa za erosoli zilizo na gesi zinazoweza kuwaka moto ndani au kando ya printa. Ukifanya hivyo unaweza kusababisha moto.

  • Usisogeze kichwa cha kushapisha ukitumia mkono; la sivyo unaweza kuharibu printa.

  • Chunga vidole vyako visikwame wakati unafunga kitengo cha kitambazo.

  • Usibane glasi ya kichanganuzi na nguvu wakati wa kuweka nakala za kwanza.

  • Kuwa ukizima printa ukitumia kitufe cha . Usichomoe printa au kuzima nishati katika sokei hadi taa ya iwache kumwekamweka.

  • Ikiwa hutatumia printa kwa muda mrefu, hakikisha kuchomoa waya ya nishati kutoka kwa soketi ya stima.