/ Kutatua Matatizo / Wakati Huwezi Kutengeneza Mipangilio ya Mtandao / Kuangalia SSID Iliyounganishwa kwenye Kichapishi

Kuangalia SSID Iliyounganishwa kwenye Kichapishi

Unaweza kuangalia SSID kwa kuchapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao, laha la hali ya mtandao, au kwenye Web Config.