/ Kiambatisho / Sifa za Kiufundi / Sifa za Faksi

Sifa za Faksi

Aina ya Faksi

Uwezo wa kuchapisha faksi za rangi nyeusi na nyeupe na rangi nyingi (ITU Kikundi Bora 3)

Liani Zinazokubalika

Laini analogi za kawaida za simu, mifumo ya simu ya PBX (Ubadilishaji Binafsi wa Tawi)

Kasi

Hadi 33.6 kbps

Msongo

Rangi Moja

  • Kawaida: 8 pel/mm×3.85 mstari/mm (203 pel/in.×98 mstari/in.)

  • Nzuri: 8 pel/mm×7.7 mstari/mm (203 pel/in.×196 mstari/in.)

  • Picha: 8 pel/mm×7.7 mstari/mm (203 pel/in.×196 mstari/in.)

Rangi

200×200 dpi

Kumbukumbu ya Ukurasa

Hadi kurasa 100 (wakati imepokea chati ya Na. 1 ya ITU-T kwa modi rasimu ya rangi moja)

Piga tena*,

Mara 2 (na vipindi vya dakika 1)

Kusano

Laini ya Simu ya RJ-11, muunganisho wa seti ya simu wa RJ-11

* Sifa zinaweza kutofautiana na kulingana na nchi au eneo.