Misimbo ya Kibweta cha Wino

Ifuatayo ndio misimbo halisi ya vibweta vya wino wa Epson.

Kumbuka:
  • Misimbo ya kibweta cha wino inaweza kutofautiana kwa eneo. Kwa misimbo sahihi katika eneo lako, wasiliana na auni ya Epson.

  • Ingawa katriji za wino huenda zikawa na nyenzo zilizorejelezwa, hii haiathiri ufanyaji kazi au utendaji wa printa.

  • Sifa na sura ya katriji ya wino zinaweza kubadilishwa bila notisi ili kuoboresha.

Kwa matumizi ya Uropa

Ikoni

BK: Black (Nyeusi)

C: Cyan (Siani)

M: Magenta (Majenta)

Y: Yellow (Manjano)

Starfish

603

603XL*

603

603XL*

603

603XL*

603

603XL*

*XL” inaashiria kibweta kikubwa.

Kumbuka:

Kwa watumiaji walio Ulaya, tembelea tovuti ifuatayo kwa maelezo kuhusu nyuga za kibweta cha wino cha Epson.

http://www.epson.eu/pageyield

Epson inapendekeza utumie katriji halali za wino za Epson. Epson haiwezi kukuhakikishia ubora au uaminifu wa wino usio halali. Matumizi ya wino usio halali yanaweza kusababisha uharibifu ambao haujasimamiwa na udhamini wa Epson, na wakati mwingine, kunaweza kusababisha mienendo ya uchapishaji isiyo ya kawaida. Maelezo kuhusu viwango vya wino usio halali hayawezi kuonekana.