/ Kutuma Faksi / Kabla ya Kutumia Vipengele vya Faksi

Kabla ya Kutumia Vipengele vya Faksi

Angalia yafuatayo kabla uanze kutumia vipengele vya faksi.

  • Kichapishi na laini ya simu, na (ikihitajika) mashine ya simu yameunganishwa sahihi

  • Mipangilo msingi ya faksi (Kis. Mpang. Faksi) imekamilika

  • Mipangilio ya Faksi mingine muhimu imekamilika

Tazama “Maelezo Husiani” hapa chini ili kuunda mipangilio.