Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Unaweza kutafuta menyu kwenye paneli dhibiti ya kichapishi hapa chini:
Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Usalama
|
Kipengee |
Ufafanuzi |
|---|---|
|
Vikwazo vya Kupiga Moja kwa moja |
Kuteua Washa hulemaza ingizo la kikuli la nambari za faksi za wapokeaji zinazoruhusu opereta ili kuteua wapokeaji pekee kutoka kwa orodha ya waasiliani tu au historia ya zilizotumwa. Kuteua Ingiza mara mbili kunamhitaji opereta kuingiza nambari ya faksi tena wakati nambari imeingizwa kwa mikono. Kuteua Zima huwezesha ingizo lla kikuli la nambari za faksi za mpokeaji. |
|
Thi'ha Or. Anwani |
Kuteua Washa huonyesha skrini ya kuthibitisha upokeaji kabla ya kuanzisha usambazaji. |
|
Futa Otomatiki Data ya Chelezo |
Kuteua Washa hufuta chelezo kiotomatiki wakati hati zinafanikiwa kutumwa au kupokewa na chelezo zinakuwa hazihitajiki. Kuteua Zima, ili kujiandaa kwa tatizo la nishati kupotea kwa sababu ya umeme kukatwa au matumizi mabaya, nakala za chelezo kwa muda za nakala zilizotumwa na kupokewa katika kumbukumbu yake. |
|
Ondoa Data Chelezo |
Hufuta nakala zote za chelezo zilizohifadhiwa kwa muda kwenye kumbukumbu ya printa. Fanya hivi kabla ya kumpa mtu mwingine printa au kabla ya kuitupa. |