Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Unapobadilisha kipanga njia vchako pasiwaya au mtoa huduma, jaribu kuunda mipangilio ya mtandao kwa kichapishi tena. Unganisha kompyuta au kifaa maizi kwenye SSID moja kama kichapishi.
Zima vifaa unavyotaka kuunganisha kwenye mtandao. Subiri karibu sekunde 10, na kisha uwashe vifaa katika mpangilio ufuatao; kipanga njia pasiwaya, kompyuta au kifaa maizi, na kisha kichapishi. Sogeza kichapishi na kompyuta au kifaa mahiri karibu na kipanga njia pasiwaya ili kusaidia na mawasiliano ya mawimbi ya redio, na kisha jaribu kutengeneza mipangilio ya mtandao tena.
Chapisha ripoti ya muunganisho wa mtandao. Tazama kiungo cha taarifa husiani hapa chini kwa maelezo zaidi. Iwapo ripoti inaonyesha kuwa muunganisho wa mtandao umeshindikana, angalia ripoti ya muunganisho wa mtandao na kisha ufuate suluhisho zilizochapishwa.
Iwapo anwani ya IP iliyopangiwa kichapishi ni 169.254.XXX.XXX, na barakoa ndogo ni 255.255.0.0, huenda anwani ya IP isipangiwe kwa usahihi. Washa upya kipanga njia chako pasiwaya au weka upya mipangilio ya mtandao kwa kichapishi. Iwapo hii haitatatua tatizo, angalia waraka kwa kipanga njia pasiwa.
Jaribu kufikia tovuti yoyote kutoka kwenye kompyuta yako ili kuhakikisha kuwa mipangilio ya mtandao wa kompyuta yako ni sahihi. Iwapo huwezi kufikia tovuti yoyote, kuna tatizo kwenye kompyuta. Kuangalia kompyuta ya muunganisho wa mtandao.