/ Utambazaji / Kutambaza Kutoka Kwa Vifaa Mahiri / Kutambaza kwa Kutumia Epson iPrint

Kutambaza kwa Kutumia Epson iPrint

Anzisha Epson iPrint kutoka kwa kifaa chako mahiri na uchague kipengele unachotaka kutumia kutoka kwa skrini ya nyumbani.

Skrini zifuatazo zinaweza kubadilishwa bila ilani.

Skrini ya nyumbani inayoonekana wakati programu-tumizi imeanzishwa.

Huonyesha maelezo kuhusu jinsi ya kusanidi kichapishi na Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara.

Huonyesha skrini unapoweza kuteua kichapishi na kuweka mipangilio ya kichapishi. Ukishateua kichapishi, huhitaji kuichagua ten wakati ujao.

Huonyesha skrini ya utambazaji.

Skrini ya utambazaji inayoonyeshwa wakati menyu ya kutambaza imeteuliwa.

Huonyesha skrini unapoweza kuweka mipangilio ya utambazaji kama vile msongo.

Huonyesha picha zilizotambazwa.

Huanzisha utambazaji.

Huonyesha skrini unapoweza kuhifadhi dara iliyotambazwa kwenye kifaa mahiri au huduma za Wingu.

Huonyesha skrini unapoweza kutuma data iliyotambazwa kupitia barua pepe.

Huonyesha skrini unapoweza kuchapisha data iliyotambazwa.