/ Kiambatisho / Mahali pa Kupata Msaada / Kuwasiliana na Usaidizi wa Epson / Msaada kwa Watumiaji Nchini India

Msaada kwa Watumiaji Nchini India

Anwani za kupata maelezo, usaidizi, na huduma ni:

Wavu wa Walimwengu

http://www.epson.co.in

Maelezo kuhusu sifa za bidhaa, viendeshi vya kupakua, na maswali kuhusu bidhaa yanapatikana.

Simu ya Msaada
  • Huduma, maelezo ya kifaa, na kuagiza vipuri vinavyotumika (Laini za BSNL)

    Nambari isiyolipishwa: 18004250011

    Inaweza kufikiwa kuanzia saa 9am hadi 6pm, Jumatatu hadi Jumamosi (Isipokuwa sikukuu za umma)

  • Huduma (CDMA na Watumiaji wa Simu)

    Nambari isiyolipishwa: 186030001600

    Inaweza kufikiwa kuanzia saa 9am hadi 6pm, Jumatatu hadi Jumamosi (Isipokuwa sikukuu za umma)