/ Kiambatisho / Mahali pa Kupata Msaada / Kuwasiliana na Usaidizi wa Epson / Msaada kwa Watumiaji Nchini Malaysia

Msaada kwa Watumiaji Nchini Malaysia

Anwani za kupata maelezo, usaidizi, na huduma ni:

Wavu wa Walimwengu

http://www.epson.com.my

  • Maelezo kuhusu sifa za bidhaa, viendeshi vya kupakua

  • Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ), Maswali kuhusu Uuzaji, maswali kupitia barua pepe

Kituo cha Simu cha Epson

Simu: 1800-81-7349 (Simu ya Bila Malipo)

Barua pepe: websupport@emsb.epson.com.my

  • Maswali kuhusu uuzaji na maelezo ya bidhaa

  • Maswali au matatizo kuhusu utumiaji wa bidhaa

  • Maswali kuhusu huduma za ukarabati na udhamini

Ofisi Kuu

Simu: 603-56288288

Faksi: 603-5628 8388/603-5621 2088