/ Kukarabati Kichapishi / Kulinganisha Kichwa cha Kuchapisha / Kupangilia Kichwa cha Kuchapisha — Paneli Dhibiti

Kupangilia Kichwa cha Kuchapisha — Paneli Dhibiti

  1. Teua Matengenezo kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Teua Ulainishaji Kichwa.

  3. Teua menyu ya urekebishaji unayotaka kurekebisha ili kuvoresha machapisho kulingana na hali ya matokeo ya uchapishaji.

    • Mistari wima itaonekana kutopangiliwa vizuri au iwapo machapisho yako hayaonekani vizuri: Teua Ulainishaji Wima.
    • Mstari wa mlalo hutokea katika viwango vya mara kwa mara: Teua Upangiliaji Kimlalo.
  4. Fuata maagizo ya kwenye skrini.