Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
|
Ujumbe |
Suluhisho |
|---|---|
|
The Wi-Fi environment needs to be improved. Turn the wireless router off and then turn it on. If the connection does not improve, see the documentation for the wireless router. |
Baada ya kusogeza kichapishi karibu na kipanga njia pasiwaya na kuondoa vizuizi vyovyote kati yake, zima kipanga njia pasiwaya. Subiri kwa karibu sekunde 10, na kisha uiwashe. Endapo bado haitaunganishwa, angalia waraka ulioletwa pamoja na kipanga njia pasiwaya. |
|
*No more devices can be connected. Disconnect one of the connected devices if you want to add another one. |
Kompyuta na vifaa maizi vinavyoweza kuunganishwa kwa wakati mmoja vimeunganishwa kwenye muunganisho kamili wa Wi-Fi Direct (AP rahisi). Ili kuongeza kompyuta nyingine au kifaa maizi, kata muunganisho wa mojawapo ya vifaa vilivyounganishwa au kiunganishe kwenye mtandao mwingine kwanza. Unaweza kuthibitisha idadi ya vifaa pasiwaya vinavyoweza kuunganishwa kwa wakati mmmoja na idadi ya vifaa vilivyounganishwa kwa kuangalia laha la hali ya mtandao au paneli dhibiti ya kichapishi. |
|
The same SSID as Wi-Fi Direct exists in the environment. Change the Wi-Fi Direct SSID if you cannot connect a smart device to the printer. |
Kwenye paneli dhibiti ya kichapishi, nenda kwenye skrini ya Usanidi wa Wi-Fi Direct na uteue menyu ili kubadilisha mpangilio. Unaweza kubadilisha jina la mtandao linalofuata baada ya DIRECT-XX-. Ingiza ndani ya vibambo 32. |