/ Kutatua Matatizo / Matatizo ya Picha Iliyotambazwa / Ubora wa taswira ni Mbaya

Ubora wa taswira ni Mbaya

  • Weka Hali kwenye Epson Scan 2 kulingana na nakala asili unayotaka kutambaza. Tambaza kwa kutumia mipangilio ya nyaraka kwenye Hali ya Hati, na mipangilio ya picha kwenye Hali ya Picha.

  • Kwenye Epson Scan 2, rekebisha taswira kwa kutumia vipengee katika kichupo cha Mipangilio ya hali ya Juu, kisha utambaze.

  • Iwapo mwonekano uko chini, jaribu kuongeza ulinganuzi na kisha kutambaza.