/ Kiambatisho / Sifa za Kiufundi / Sifa za Kimazingira / Vipimo vya Kimazingira vya Vibweta vya Wino

Vipimo vya Kimazingira vya Vibweta vya Wino

Halijoto ya Hifadhi

-30 hadi 40°C (-22 hadi 104°F)*

Halijoto ya Kuganda

-16°C (3.2°F)

Wino huyeyuka na hutumika baada ya takriban saa 3 katika 25°C (77°F).

* Unaweza kuhifadhi kwa mwezi mmoja katika 40°C (104°F).