/ Kutuma Faksi / Chaguo za Menyu za Kutuma Faksi / Kisimamia Waasiliani

Kisimamia Waasiliani

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini:

Faksi > Menyu > Kisimamia Waasiliani

Hufikia Mipangilio > Kisimamia Waasiliani.

Unaweza kuongeza au kuhariri waasiliani.