Chaguo za Menyu kwa Mipangilio ya Kuchapisha

Paper Source

Teua chanzo cha karatasi ambacho karatasi huingizwa.Iwapo kichapishi kina chanzo kimoja tu cha karatasi, kipengee hiki hakionyeshwi.Kuteua Uteuzi Otomatiki huteua chanzo cha karatasi kinacholingana na mpangilio wa karatasi kwenye kichapishi kiotomatiki.

Media Type

Teua aina ya karatasi unayochapisha.

Print Quality

Teua ubora wa chapisho unaotaka kutumia kwa uchapishaji.Chaguo zinatofautiana kulinagana na aina ya karatasi.

Isiyo na kingo

Kikasha pokezi hiki kinateuliwa wakati unateua ukubwa wa karatasi usio na kingo.

Ukuzaji

Katika uchapishaji wa bila mipaka, data ya uchapishaji hukuzwa kiasi kidogo zaidi ya ukubwa wa karatasi ili kusiwe na pambizo zinachapishwa kando ya kingo za karatasi.Teua kiasi cha ukuzaji.

Rekebu-kijivu

Teua wakati unataka kuchapisha kwa rangi nyeusi au kijivu.

Mirror Image

Hugeuza picha ili kuichapisha kama itakavyoonekana kwenye kioo.