Inachapisha kwa Muda kwa Wino Mweusi — Windows

Fanya moja kati ya zifuatazo.

  • Dirisha lifuatalo linapoonyeshwa, teua Chapisha kwenye rangi Nyeusi.

  • Dirisha lifuatalo linapoonyeshwa, katisha uchapishaji. Na kisha, kuchapisha tena.

Kumbuka:

Iwapo huwezi kukatisha uchapishaji kutoka kwenye kompyuta, katisha ukitumia paneli dhibiti ya kichapishi.

Fuata hatua zilizo hapa chini unapochapisha tena.

  1. Nenda kwa dirisha la kiendeshi cha kichapishi.

  2. Futa Isiyo na kingo kwenye kichupo cha Kuu.

  3. Teua Karatasi tupu au Bahasha kama mpangilio wa Aina ya Krtasi kwenye kichupo cha Kuu.

  4. Teua Rekebu-kijivu.

  5. Weka vipengele hivyo vingine kwenye vichupo vya Kuu na Chaguo Zaidi inavyohitajika, na kisha ubofye SAWA.

  6. Bofya Chapisha.

  7. Bofya Chapisha kwenye rangi Nyeusi kwenye dirisha lililoonyeshwa.