Faksi

Teua menyu kwenye Faksi kutoka katika skrini ya nyumbani kwenye paneli dhibiti.

Waasiliani

Chagua mpokeaji kutoka kwenye orodha ya waasiliani.

Hivi karibuni

Chagua mpokeaji kutoka kwa historia ya faksi zilizotumwa.

Menyu

Unaweza kuteua menyu zifuatazo.

  • Mipangi. Utambazaji

  • Mipan. Kutuma Faksi

  • Zaidi

  • Kisimamia Waasiliani

Tazama “Maelezo Husiani” hapa chini kwa maelezo zaidi.

Tuma Faksi

Bonyeza kitufe cha ili utume faksi.