/ Kutatua Matatizo / Matatizo Mengine ya Kutambaza / Utambazaji Unasitishwa wakati Unatambaza kwa PDF/Multi-TIFF

Utambazaji Unasitishwa wakati Unatambaza kwa PDF/Multi-TIFF

  • Wakati unatambaza ukitumia Epson Scan 2, unaweza kutambaza hadi kurasa 999 kwa umbizo la PDF na hadi kurasa 200 kwa umbizo la Multi-TIFF.

  • Wakati unatambaza kurasa nyingi, tunapendekeza utambazaji wa kijivu.

  • Ongeza nafasi kwenye diski kuu ya kompyuta. Utambazaji unaweza ukasitishwa ikiwa hakuna nafasi ya kutosha.

  • Jaribu kutambaza kwa msongo wa chini. Utambazaji husimama ikiwa jumla ya ukubwa wa data utafikia kikomo.