/ Kubadilisha Vibweta vya Wino na Bidhaa Zingine za MMatumizi / Inachapisha kwa Muda kwa Wino Mweusi / Uchapishaji wa Muda Kwa Wino Mweusi — Paneli Dhibiti

Uchapishaji wa Muda Kwa Wino Mweusi — Paneli Dhibiti

  1. Wakati ujumbe unaonyeshwa ukikusitua kubadilisha vibweta vya wino, teua Endelea.

    Ujumbe unaonyeshwa unaokuambia unaweza kuchapisha kwa muda kwa wino mweusi.

  2. Angalia ujumbe, kisha uteue Endelea.

  3. Iwapo unataka kuchapisha kwenye monokromu, teua Nikumb'he baadaye.

    Kazi inayoendelea imekatishwa.

  4. Sasa unaweza kunakili waraka asili kwenye karatasi tupu kwenye monokromu. Teua kipengele unachotaka kutumia kwenye skrini ya nyumbani.

    Kumbuka:

    Unakili wa bila mipaka haupatikani.