/ Kutatua Matatizo / Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi / Ubora wa Faksi Iliyotumwa Uko Chini

Ubora wa Faksi Iliyotumwa Uko Chini

  • Safisha glasi ya kichanganuzi.

  • Badilisha mpangilio Uzito kwenye paneli dhibiti.

  • Ikiwa huna uhakika kuhusu uwezo wa mashine ya faksi ya mpokeaji, wezesha kipengele cha Tuma Moja kwa Moja au teua Nzuri kama mpangilio wa Mwonekano.

  • Wezesha mpangilio wa ECM kwenye paneli dhibiti.