/ Kiambatisho / Taarifa ya Udhibiti / Viwango na Vibali / Viwango na Vibali vya Modeli ya Ulaya

Viwango na Vibali vya Modeli ya Ulaya

Kwa watumiaji wa Ulaya

Seiko Epson Corporation inatangaza kuwa modeli ifuatayo ya kifaa cha redio inazingatia Maelekezo ya 2014/53/EU. Matini kamili ya azimio la EU la maafikiano linapatikana kayika tovuti ifuatayo.

http://www.epson.eu/conformity

C625A

Kwa matumizi ya Ayalandi, Uingereza, Austria, Ujerumani, Liechtenstein, Uswisi, Ufaransa, Ubelgiji, Lusembagi, Uholanzi, Italia, Ureno, Uhispania, Denimaki, Ufini, Norwei, Uswidi, Aisilandi, Kroatia, Kibros, Ugiriki, Slovenia, Malta, Bulgaria, Ucheki, Estonia, Hungaria, Latvia, Lithuania, Polandi, Romani, na Slovakia.

Epson haitakubali wajibu wa kutoridhisha mahitaji ya ulinzi kunakotokana na urekebishaji wa bidhaa ambao haujapendekezwa.