Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Iwapo huwezi kuunganisha kutoka kwenye kompyuta au kifaa mahiri hadi kwenye kichapishi hata ingawa ripoti ya muunganisho wa mtandao haionyeshi matatizo yoyote, angalia yafuatayo.
Unapotumia mvipanga njia pasiwaya anuwai kwa wakati mmoja, huenda usiweze kutumia kichapishi kutoka kwenye kompyuta au kifaa mahiri kulingana na mipangilio ya vipanga njia pasiwaya. Unganisha kompyuta au kifaa maizi kwenye kipanga njia pasiwaya sawa kama kichapishi.
Lemaza kitendaji cha uzururaji kwenye kifaa maizi iwapo kimewezeshwa.

Huenda usiweze kuunganisha kwenye kipanga njia pasiwaya wakati eneo la ufikiaji lina SSIDs na vifaa anuwai vimeunganishwa katika SSIDs tofauti katika kipanga njia pasiwaya kimoja cha ufikiaji. Unganisha kompyuta au kifaa maizi kwenye SSID moja kama kichapishi.

Kipanga njia pasiwaya kinacchozingatia IEEE 802.11a na IEEE 802.11g kina SSIDs za 2.4 GHz na 5 GHz. Iwapo utaunganisha kompyuta au kifaa maizi kwenye 5 GHz SSID, hutaweza kuunganisha kichapishi kwa sababu kichapishi kinaauni tu mawasiliano kupitia 2.4 GHz. Unganisha kompyuta au kifaa maizi kwenye SSID moja kama kichapishi.

Vipanga njia unuwai vingi vina kipengele cha kitenganishi cha faragha kinachozuia mawasiliano kati ya vifaa vilivyounganishwa. Iwapo huwezi kuwasiliana kati ya kichapishi na kompyuta au kifaa maizi hata iwapo vimeunganishwa kwenye mtandao mmoja, lemaza kitenganishi cha faragha kwenye kipanga njia pasiwaya. Tazama mwongozo uliotolewa ulio na kipanga njia pasiwaya kwa maelezo.
