Mipangilio ya Uchapishaji

Teua Two-sided Printing Settings kutoka kwa menyu ibukizi.Teua mbinu ya uchapishaji wa pande 2, na kisha uunde mipangilio ya Document Type.

Kumbuka:
  • Kasi ya uchapishaji inaweza kupungua kulingana na aina ya waraka.

  • Unapochapisha picha kwa data iliyosongamana, teua Text & Graphics au Text & Photos kwenye mpangilio Document Type.Iwapo machapisho yamechafuka au yamemwagikiwa wino kupitia upande mwingine wa karatasi, rekebisha Uzito wa Uchapishaji na Increased Ink Drying Time kwenye Adjustments.