/ Kiambatisho / Mahali pa Kupata Msaada / Kuwasiliana na Usaidizi wa Epson / Msaada kwa Watumiaji Nchini Taiwani

Msaada kwa Watumiaji Nchini Taiwani

Anwani za kupata maelezo, usaidizi, na huduma ni:

Wavu wa Walimwengu

http://www.epson.com.tw

Maelezo kuhusu sifa za bidhaa, viendeshi vya kupakua, na maswali kuhusu bidhaa yanapatikana.

Eneo la Msaada la Epson

Simu: +886-2-80242008

Timu yetu ya Eneo la Msaada inaweza kukusaidia na yafuatayo kupitia simu:

  • Maswali kuhusu uuzaji na maelezo ya bidhaa

  • Maswali au matatizo kuhusu utumiaji wa bidhaa

  • Maswali kuhusu huduma ya ukarabati na udhamini

Kituo cha huduma ya ukarabati:

http://www.tekcare.com.tw/branchMap.page

TekCare corporation ni kituo kilichoidhinishwa cha huduma cha Epson Taiwan Technology & Trading Ltd.