Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Soma na ufuate maelekezo haya ili uhakikishe matumizi salama ya printa hii.Weka mwongozo huu kwa marejeleo ya siku zijazo.Pia, hakikisha unafuata maonyo na maelekezo yote yaliyowekwa kwenye printa.
Baadhi ya alama zinazotumika kwenye printa yako ni za kuhakikisha usalama na matumizi sahihi ya printa. Tembelea Tovuti ifuatayo ili ujifunze maana ya alama hizi.
Tumia waya ya nishati uliyokuja na printa peke yake na usitumie waya hiyo na kifaa kingine chochote. Utumiaji wa waya zingine kwenye printa hii au utumiaji wa waya ya nishati iliyokuja na kifaa kingine huenda ukasababisha moto au mshtuo wa umeme.
Hakikisha waya yako ya nishati ya AC inatimiza viwango muhimu vya usalama vya eneo.
Usiwahi kufunguanisha, kurekebisha, au kujaribu kukarabati waya ya nishati, plagi, kitengo cha printa, kitengo cha kitambazo, au chaguo wewe mwenyewe, isipokuwa kama ilivyoelezewa hasa katika miongozo ya printa.
Chomoa plagi ya printa na upeleke kwa mtu aliyehitimu kukarabati chini ya hali zifuatazo:
Waya au plagi ya nishati imeharibika; majimaji yameingia katika printa; printa imeangushwa au kesi imeharibika; printa haifanyi kazi kawaifa au inaonyesha tofauti mpya ya utendaji. Usirekebishe udhibiti ambao hauelezwa na maelekezo ya utendaji.
Weka printa karibu na soketi ya ukutani ambapo plagi inaweza kuchomolewa kwa urahisi.
Usiweke au kuhifadhi printa nje, katibu na uchafu au vumbi jingi, majimaji, vyanzo vya moto, au katika maeneo yaliyo na mshtuko, mtetemeko, halijoto ya juu au unyevu.
Chunga usimwagie printa majimaji na usishughulikie printa na mikono yenye majimaji.
Weka printa angalau sentimita 22 mbali na kidhibiti mpigo wa moyo. Mawimbi ya redio kutoka kwa printa hii yanaweza kuathiri ufanyaji kzi wa kidhibiti mpigo wa moya vibaya.
Ikiwa skrini ya LCD imeharibika, wasiliana na muuzaji wako. Ikiwa mchanganyiko angavu wa majimaji utamwagikia mikono yako, ioshe vizuri na sabuni na maji. Ikiwa mchanganyiko angavu wa majimaji utamwagikia mikono yako, yaoshe vizuri na maji mara moja. Ikiwa usumbufu au matatizo ya kuona yataendelea baada ya kuosha macho vizuri, mtembelee daktari mara moja.
Usitumie simu wakati wa tufani ya radi. Kunaweza kuwa na hatari ya mbali ya mshtuo wa umeme kutokana na radi.
Usitumie simu kuripoti uvujaji wa gesi karibu na uvujaji huo.