/ Kiambatisho / Mahali pa Kupata Msaada / Kuwasiliana na Usaidizi wa Epson / Msaada kwa Watumiaji Nchini Singapuri

Msaada kwa Watumiaji Nchini Singapuri

Vyanzo vya maelezo, usaidizi, na huduma vinavyopatikana kutoka Epson Singapore ni:

Wavu wa Walimwengu

http://www.epson.com.sg

Maelezo kuhusu sifa za bidhaa, viendeshi vya kupakua, Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQ), Maswali Kuhusu Uuzaji, na Msaada wa Kiufundi kupitia barua pepe unapatikana.

Eneo la Msaada la Epson

Bila Malipo: 800-120-5564

Timu yetu ya Eneo la Msaada inaweza kukusaidia na yafuatayo kupitia simu:

  • Maswali kuhusu uuzaji na maelezo ya bidhaa

  • Maswali au matatizo kuhusu utumiaji wa kifaa

  • Maswali kuhusu huduma ya ukarabati na udhamini