/ Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu / Kuongeza Kichapishi (kwa Mac OS Tu)

Kuongeza Kichapishi (kwa Mac OS Tu)

  1. Teua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwenye menyu ya Apple > Vichapishi na Vitambazaji (au Chapisho na Tambazo, Chapisho na Faksi).

  2. Bofya +, na kisha uteue kichapishi chako kwenye skrini inayoonyeshwa.

  3. Teua kichapishi chako kutoka Matumizi.

  4. Bofya Ongeza.

    Kumbuka:

    Iwapo kichapishi hakijaorodheshwa, thibitisha kuwa kimeunganishwa sahihi kwenye kompyuta na kuwa kichapishi kimewashwa.