/ Kutuma Faksi / Kupokea Faksi kwenye Kichapishi

Kupokea Faksi kwenye Kichapishi

Iwapo kichapishi kimeunganishwa kwenye laini ya simu na mipangilio msingi imekamilishwa kwa kutumia Kis. Mpang. Faksi, unaweza kupoklea faksi.

Kuna njia mbili za kupokea faksi.

  • Kupokea faksi zinazoingia

  • Kupokea fakdsi kwa kupiga simu (Kupokea Kura)

Faksi zilizopokewa zinachapishwa kwenye mipangilio ya kwanza ya kichapishi.

Ili kuangalia hali ya mipangilio ya faksi, unaweza kuchapisha Orodha ya Mipangilio ya Faksi kwa kuteua Faksi > Menyu > Zaidi > Ripoti ya Faksi > Orodha ya Mipangilio ya Faksi.

Tazama “Maelezo Husiani” hapa chini ili kuunda mipangilio.