/ Kutayarisha Kichapishi / Chaguo za Menyu kwa Mipangilio / Chaguo za Menyu kwa Matengenezo

Chaguo za Menyu kwa Matengenezo

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Matengenezo

Ukaguaji Nozeli:

Teua kipengele hiki ili iangalie kama nozeli za kichwa cha kuchapisha zimeziba.Kichapishi huchapisha ruwaza ya ukaguzi wa nozeli.

Usafishaji Kichwa:

Teua kipengele hiki ili kusafisha nozeli zilizoziba katika kichwa cha kuchapisha.

Ulainishaji Kichwa:

Teua kipengele hiki ili kurekebisha kichwa cha kuchapisha ili kuimarisha ubora wa uchapishaji.

  • Ulainishaji Wima

    Teua kipengele hiki iwapo machapisho yako yataonekana yakiwa na ukungu au maandishi na mistari hailingani.

  • Upangiliaji Kimlalo

    Teua kipengele hiki iwapo bendi ya mlalo itaonekana kwa vipindi vya kila mara kwenye machapisho yako.

Ubadilishaji wa Kibweta cha Wino:

Tumia kipengele hiki ili kubadilisha kibweta cha wino kabla ya wino kuisha.

Usfshaji Mwongzo wa Krtasi:

Teua kipengele hiki iwapo kuna madoa ya wino kwenye rola za ndani.Kichapishi huingiza karatasi ili kusafisha rola za ndani.