/ Kutayarisha Kichapishi / Chaguo za Menyu kwa Mipangilio / Chaguo za Menyu kwa Huduma za Epson Connect

Chaguo za Menyu kwa Huduma za Epson Connect

Teua menyu kwenye paneli dhibiti kama ilivyofafanuliwa hapa chini.

Mipangilio > Huduma za Epson Connect

Sajili/Futa:

Sajili au ufute kichapishi kwa au kutoka kwenye huduma za Epson Connect.

Kwa miongozo ya matumizi, tazama tovuti ifuatayo ya kituo.

https://www.epsonconnect.com/

http://www.epsonconnect.eu (Ulaya peke yake)

Sitisha/Endelea:

Teua iwapo utasitisha au kuendelea na huduma za Epson Connect.

Anwani ya Barua pepe:

Angalia anwani ya barua pepe ya kichapishi iliyosajiliwa kwenye huduma za Epson Connect.

Hali:

Angalia iwapo kichapishi kimesajiliwa na kuunganishwa kwenye huduma za Epson Connect au la.