/ Kiambatisho / Mahali pa Kupata Msaada / Kuwasiliana na Usaidizi wa Epson / Msaada kwa Watumiaji Walio Hong Kong

Msaada kwa Watumiaji Walio Hong Kong

Ili upate usaidizi wa kiufundi pamoja na huduma zingine za baada ya uuzaji, watumiaji wanakaribishwa kuwasiliana na Epson Hong Kong Limited.

Ukurasa wa Mwanzo wa Wavuti

http://www.epson.com.hk

Epson Hong Kong imeanzisha ukurasa wa mwanzo wa ndani kwa lugha za Kichina na Kiingereza kwenye Wavuti ili kuwapa watumiaji maelezo yafuatayo:

  • Maelezo ya bidhaa

  • Majibu kwa Maswali Yanayoulizwa Mara kwa Mara (FAQs)

  • Matoleo mapya ya viendeshi vya bidhaa ya Epson

Simu ya Moja kwa Moja ya Usaidizi wa Kiufundi

Pia unaweza kuwasiliana na wafanyakazi wa kiufundi katika nambari zifuatazo za simu na faksi:

Simu: 852-2827-8911

Faksi: 852-2827-4383