Kukatisha

Bofya ikoni ya kichapishi katika Doki. Teua kazi unayotaka kukatisha, na kisha ufanye mojawapo ya mambo yafuatayo.

  • OS X Mountain Lion au mpya

    Bofya kando ya mota ya uendeleaji.

  • Mac OS X v10.6.8 hadi v10.7.x

    Bofya Futa.