/ Kutatua Matatizo / Kuondoa Karatasi Iliyokwama

Kuondoa Karatasi Iliyokwama

Angalia hitilafu inayoonyeshwa kwenye paneli dhibiti na ufuate maelekezo ili uondoe karatasi iliyokwama ikiw ani pamoja na vipande vilivyoraruka. Bkisha, futa hitilafu.

Muhimu:

Ondoa karatasi iliyokwama kwa uangalifu. Kuondoa karatasi kwa nguvu kunaweza kusababisha uharibifu wa printa.