/ Kutatua Matatizo / Matatizo ya Uchapishaji / Ruwaza Zinazoonekana kama Micoro kwenye Machapisho

Ruwaza Zinazoonekana kama Micoro kwenye Machapisho

Wakati unachapisha taswira aui picha, chapisha ukitumia data yenye ulinganuzi wa juu. Picha zilizo kwenye tovuti huwa zenye ulinganuzi wa chini mara kwa mara ingawa zinaonekana kama ni nzuri kwenye kionyeshi, na kwa hivyo ubora wa uchapishaji huenda ukapungua.