/ Kunakili / Kunakili Nakala asili Anuwai kwenye Laha Moja

Kunakili Nakala asili Anuwai kwenye Laha Moja

  1. Teua Nakili kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Bonyeza kitufe cha OK ili kuonyesha mipangilio ya kuchapisha, na kisha ubonyeze kitufe cha .

  3. Teua 2-juu kama mpangilio wa Kurasa Nyingi, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  4. Teua utaratibu wa muundo kwa mpangilio wa Mw. Mpangilio, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  5. Teua mwelekeo wa nakala asili kwa mpangilio wa Mwelekeo wa Hati, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  6. Kagua vipengee vingine vya mpangilio wa chapisho, na uvibadilishe ikiwezekana, na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  7. Bonyeza kitufe cha .