Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
Huu ni mfano wa jinsi ya kutengeneza bango wakati Bango la 2x2 iimechaguliwa, na Alama za Mpangilio Zinazopishana imechaguliwa katika Chapisha Miongozo ya Kukata.

Andaa Sheet 1 na Sheet 2. Kata pambizo za Sheet 1 kwenye mstari wima wa bluu kupitia katikati mwa alama za msalaba za juu na chini.

Weka ukingo wa Sheet 1 juu ya Sheet 2 na upange alama za msalaba, kisha uunganishe karatasi mbili pamoja kwa muda kutoka nyuma ukitumia utepe.

Kata karatasi zilizounganishwa mara mbili katika mstari wima wa bluu kupitia alama za kupanga (wakati huu, mstari upande wa kusho mwa alama za msalaba).

Unganisha karatasi pamoja kutoka nyuma ukitumia utepe.

Rudia hatua 1 hadi 4 uunganishe Sheet 3 na Sheet 4 pamoja ukitumia utepe.
Kata pambizo za Sheet 1 na Sheet 2 katika mstari mlalo wa bluu kupitia katikati mwa alama za msalaba zilizo upande wa kushoto na kulia.

Weka kingo ya Sheet 1 na Sheet 2 juu ya Sheet 3 na Sheet 4 na upange alamaa za msalaba, na kisha uziunganishe pamoja kwa moda kutoka nyuma.

Kata karatasi zilizounganishwa mara mbili katika mstari mlalo mwekundu kupitia alama za kupanga (wakati hii, mtari ulio juu mwa alama za msalaba).

Unganisha karatasi pamoja kutoka nyuma ukitumia utepe.

Kata pambizo zinazobakia katika mwingozo wa nje.
