/ Kutuma Faksi / Kupokea Faksi kwenye Kompyuta / Kuhifadhi Faksi Zinazoingia kwenye Kompyuta

Kuhifadhi Faksi Zinazoingia kwenye Kompyuta

Unaweza kuunda mipangilo ili kuhifadhi faksi zinazoingia kwenye kompyuta kwa kutumia FAX Utility. Sakinisha FAX Utility kwenye kompyuta mapema.

Kwa maelezo, tazama Basic Operations kwenye msaada wa FAX Utility (yanayoonyeshwa kwenye dirisha kuu). Iwapo skrini ya ingizo la nywila itaonyeshwa kwenye skrini ya kompyuta unapounda mipangilio, ingiza nywila.

Kumbuka:

Unaweza kupokea faksi kwenye kompyuta na kuchapisha faksi kwa wakati mmoja. Tazama “Maelezo Husiani” hapa chini ili kuunda mipangilio.