Chaguo za Menyu za Muundo

Kurasa kwa kila Laha

Teua idadi ya kurasa za kuchapishwa kwenye laha moja.

Mwelekeo wa Muundo

Bainisha mpangilio ambao kurasa zinafaa kuchapishwa.

Mpaka

Huchapisha mpaka kwenye kurasa.

Mwelekeo wa kugeuza ukurasa

Huzungusha kurasa nyuzi 180 kabla ya kuchapisha.Teua kipengee hiki unapochapisha kwenye karatasi kama vile bahasha zilizopakiwa katika mwelekeo thabiti kwenye kichapishi.

Geuza kimlalo

Hugeuza picha ili kuichapisha kama itakavyoonekana kwenye kioo.