/ Utambazaji / Kutambaza kutoka kwa Kompyuta / Kutambaza kwa Kutumia Epson Scan 2

Kutambaza kwa Kutumia Epson Scan 2

Tambaza ukitumia kiendeshi cha kitambazo “Epson Scan 2”. Angalia msaada wa Epson Scan 2 kwa ufafanuzi wa kila kipengele cha mpangilio.