/ Kukarabati Kichapishi / Kukagua na Kusafisha Kichwa cha Uchapishaji / Kukagua na Kusafisha Kichwa cha Uchapishaji — Mac OS

Kukagua na Kusafisha Kichwa cha Uchapishaji — Mac OS

  1. Weka karatasi tupu yenye ukubwa wa A4 katika kichapishi.

  2. Teua Mapendeleo ya Mfumo kutoka kwenye menyu ya > Vichapishi na Vitambazaji (au Chapisho na Tambazo, Chapisho na Faksi), na kisha uteue kichapishi.

  3. Bofya Chaguo & Vifaa > Huduma > Fungua Huduma ya Printa.

  4. Bofya Ukaguzi wa Nozeli.

  5. Fuata maagizo ya kwenye skrini.