/ Kutuma Faksi / Kutumia Vipengele Vingine vya Kutuma Faksi / Kuchapisha Ripoti ya Faksi Kikuli

Kuchapisha Ripoti ya Faksi Kikuli

  1. Teua Faksi kwenye skrini ya nyumbani.

    Ili kuteua kipengee, tumia vitufe vya , na kisha ubonyeze kitufe cha OK.

  2. Bonyeza kitufe cha Sawa na kisha uteue Zaidi.

  3. Teua Ripoti ya Faksi.

  4. Teua menyu unayotaka kuchapisha, na kisha ufuate maagizo yaliyo kwenye skrini.

    Kumbuka:

    Unaweza kubadilisha umbizo la ripoti. Kutoka kwa skrini ya nyumbani, teua Mipangilio > Mipangilio ya Faksi > Mipangilio ya Ripoti, na kisha ubadilishe mipangilio ya Ambatisha Tasw. Faksi kwenye ripoti au Umbizo la Ripoti.