Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Windows
Kuchapisha kutoka kwenye Kiendeshi cha Kichapishi kwenye Mac OS
Huduma ya Mtandao na Maelezo ya Programu
Programu ya Kusawazisha Utendakazi wa Kichapishi (Web Config)
Programu-tumizi za Kutambaza Nyaraka na Picha (Epson Scan 2)
Programu-tumizi ya Kusanidi Operesheni za Utambazaji kutoka kwa Paneli Dhibiti (Epson Event Manager)
Programu ya Kutambaza kutoka katika Kompyuta (Epson ScanSmart)
Programu-tumizi kwa Usanidi wa Operesheni za Faksi na Kutuma Faksi (FAX Utility)
Programu ya Uchapishaji Haraka na Furaha kutoka katika Kompyuta (Epson Photo+)
Programu ya Kuendesha Kichapishi Rahisi kutoka kwenye Kifaa maizi (Epson Smart Panel)
Programu ya Kusasisha Programu na Vifaa Dhibiti (Epson Software Updater)
Programu ya Kusanidi Kifaa Kipya kwenye Mtandao (EpsonNet Config)
Haiwezi kuchapisha kutoka kwenye iPhone, iPad, au iPod touch
Machapisho Yasiyoonekana Vizuri, Mstari Wima, au Upangiliaji usiofaa
Karatasi Imechafuka Wakati wa Uchapishaji Otomatiki wa Pande 2
Kingo za Picha Zinapogolewa Wakati wa Uchapishaji wa Bila Mpaka
Rangi, Uchafu, Matone Yasiyo sawa, au Mistari Sambamba Itaonekana katika Picha Zilizonakiliwa
Ruwaza Zaidi (Mistari Sambamba Iliyopatana) Huonekana katika Taswira Iliyonakiliwa
Picha ya Upande wa Nyuma wa Ya Asili Huonekana Katika Picha Iliyonakiliwa
Matatizo Wakati wa Kutuma na Kupokea Faksi
AirPrint huwezesha uchapishaji pasiwaya wa papo hapo kutoka kwenye iPhone, iPad, iPod ya mguso, na Mac bila kuhitajika kusakinisha viendeshi au kupakua programu.

Iwapo ulilemaza ujumbe wa usanidi wa karatasi kwenye paneli yako ya udhibiti wa bidhaa, huwezi kutumia AirPrint. Tazama kiungo kilicho hapa chini ili kuwezesha ujumbe, iwapo inahitajika.
Pakia karatasi kwenye bidhaa yako.
Sanidi bidhaa yako kwa uchapishaji wa pasi waya. Tazama kiungo cha hapa chini.
Unganisha kifa chako cha Apple kwenye mtandao sawa wa pasi waya ambao bidhaa yako inatumia.
Chapisha kutoka kwa kifaa chako hadi kwa bidhaa yako.
Kwa maelezo, tazama ukurasa wa AirPrint kwenye tovuti ya Apple.